Tagomago — PERKS
We explore an idyllic sandstone villa on the coast of Puglia, Italy, designed by the renowned Studio Andrew Trotter.
Your life is the best story! Just start your blog today!
Aces Tagum College, Inc (ATCI) is a private educational institution with a campus in Tagum City, Davao Del Norte.
Lee Mart is a Korean supermarket or convenience store in the City of Tagum, Davao Del Norte. PRODUCTS & SERVICES Premium Korean Egg Drop Korean Ice Cream Heaven Kimbap Katsu Curry Samgyupsal Ramen Seafood Ramen Bibimbap Tteokbooki with Cheese Kani Salad Tuna Kimbap Cheese Kimbap Donkatsu Katsudon Japchae Beef Kimchi Pork Kimchi Stew Cheese Ramen […]
STI College Tagum is a private higher education institution located in Tagum City, Davao del Norte, Philippines. It is one of the campuses of the STI College system, which has multiple campuses across the country. STI College Tagum offers undergraduate degree programs in various fields such as Information Technology, Business Administration, Tourism Management, and Hospitality […]
Christian Life Center is a church and religious organization in the City of Tagum, Davao Del Norte. PRODUCTS & SERVICES Christian Service Fellowship Sunday Worship ADDRESS Sobrecary Street corner Pioneer Street, Tagum City, Davao Del Norte CONTACT INFORMATION Mobile Number 0967 980 4024 Telephone Number No publicly available telephone number Email Address [email protected] Website https://clctagum.com/ […]
JRS Express is a courier, express delivery and value-added logistics service provider in the City of Tagum. PRODUCTS & SERVICES Freight & Courier Express Delivery (Domestic / International) Shipping & Transportation Cargo ADDRESS Laingo Building, Bonifacio Street corner Quezon Street, Magugpo Poblacion, City of Tagum, Davao Del Norte CONTACT INFORMATION Telephone: (084) 655 6917 (084) […]
results client lifepicturekamera
ILD
Gaisano Mall of Tagum (GMall) is considered as the largest shopping mall in Tagum City, Davao Del Norte. It is owned by DSG Sons Group, Inc. PRODUCTS & SERVICES Grocery and Supermarket Department Store Restaurants Cinema Fashion and Retail Shops Pharmacy Boutique Electronics and Gadget Store Government Office (i.e. LTO) ADDRESS Daang-Maharlika National Highway, Briz […]
TUNATOA HUDUMA YA KUCHORA RAMANI ZA MABANDA YA MIFUGO, MAJOSHO, MACHINJIO NK PIA TUNATENGEZA MABANDA BORA YA MIFUGO MBALIMBALI KAMA KUKU, SUNGURA, NG'OMBE, NK WE CONSTRUCT ANIMAL HOUSES Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackanimalclinic Tupo wazi kuanzia saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku. Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo. Tofauti na mabanda, tunaandaa michoro kwajili ya machinjio, runch na majosho @mifugo_tz chini ya @joackcompany ni wataalamu wenye uzoefu wa kutosha kwenye ujenzi wa mabanda ya mifugo kama kuku, ng'ombe, Mbuzi, Sungura, nk. Tunao mafundi walio bobea kwenye ujenzi wa mabanda wakishirikiana na wataalamu wetu wa mifugo. Huduma hii ya kujengewa mabanda unapat
Dagmaryoga provides Private Yoga Instruction and Health and Wellness Coaching services. See their reviews & get quotes today.
Tagum National Trade School (TNTS) is a technical vocational public high school under both the Department of Education (DepEd) and Technical Education and Skills Development Authority (TESDA). It was established in August 1972 through Republic Act (RA) 5986 – An Act Providing for the Establishment of a National Trade School in the Municipality of Tagum, […]
Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni kutupatia cahakula na wakati mwingine kwa biashara. Kwa kanda ya kusini muhogo ni chakula kikuu ambacho kinachukua asilimia 75 ya chakula kwa maeneo yote ya mikoa ya pwani Muhogo hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye maeneo ya mita 0 – 1500 kutoka usawa wa bahari. Vile vile muhogo hustawi vizuri kwenye maeneo yanayopata mvua ya wastani wa mm 750 - mm1200 kwa mwaka. Muhogo hustawi vizuri kwenye ardhi ya kichanga. Vili vile zao la muhogo ni maarufu sana kwa uvumilivu wa hali ya ukame. TEKNOLOJIA ZILIZOPO Mbegu bora za muhogo Mpaka sasa hivi kuna aina mbili za mbegu bora ambazo zimathibitishwa kwa wakulima. Mbegu hizi huvumilia magonjwa, (batobato na matekenya), pia huzaa sana ukilinganisha na mbegu za kienyeji. Naliendele Huzaa tani 19 kwa hekta moja, na inaweza kuvunwa kuanzia miezi 9 toka ipandwe. Kiroba Huzaa tani 25 – 30 kwa hekta moja, na inaweza kuvunwa kuanzia miezi 9 toka ipandwe. Mbinu bora za kilimo cha muhogo Uandaaji wa shamba Shamba liandaliwe kabla ya msimu wa kuanza. Uandaaji wa shamba bora hufuata hatua zifuatazo: - Kufyeka shamba - Kung’a na kuchoma visiki - Kulima na kutengeneza matuta · Uchaguzi wa mbegu bora za kupanda Mbegu zinatakiwa zisiwe na magojwa yeyote, pia chagua mashina ambayo yamelomaa vizuri. · Upanadaji Kuna njia tatu za upandaji wa muhogo: - Kulaza ardhini (Horizontal) - Kusimamisha wima (Vertcal) - Kuinamisha ( Inclined/Slunted) Urefu wa kipande cha shina cha kupanda: Inashauriwa urefu uwe sm 30; lakini urefu wa kipande cha kupanda unategemea sana idadi ya macho yaliyopo kwenye hicho kipande, inashauriwa kipande kiwe na macho (4 – 6). Nafasi ya kupanda: Kwa upandaji wa shamba muhogo tupu, shina hadi shina ni mita 1 na mstari hadi mstari ni mita 1.Kwa shamba la mchanganyiko na mazao mengine, inategemeana na zao linalochanganywa; mstari hadi mstari ni mita 2 – mita 4 na shina hadi shina ni mita 1. · Palizi: - Palizi ya kwanza ifanyike mapema (mwezi 1) baada ya kupanda ili kuepukana na magugu yanayochipua haraka baada ya mvua kunyesha. Ndani ya miezi mine ya mwanzo mihogo haitakiwi kuwa na magugu ili kuepuka ushindni wa mahitaji muhimu (mwanga, mbolea, maji, n.k) kati ya muhugo na magugu. - Palizi hufanyika kwa kutumi jebe la mkono au dawa ya kuuwa magugu. - Wakati mwingine udhibiti wa magugu kufanyika kwa kutumia majani kwa kutandazwa juu ya udongo. - Plaizi hufanyika mara 2 – 3 hadi muhugo kukomaa. · Uvunaji: Mihogo inaweza kuanza kuvunwa baada ya miezi 9 – 12 tangu kupandwa. Inashauriwa kuvuna katika katika kipindi cha jua; kwani wakati wa mvua kiwango cha wanga kwenye muhogo hupungua. · Usindikaji bora Usindikaji bora wa muhogo unafanyika kwa sababu kuu mbili: - Kurahisisha/kuharakisha ukaushaji - Kuondoa sumu (cyanide) ilyoko kwenye baadhi ya aina za mihogo - Kuongeza ubora wa unga utokanao muhogo wenyewe. Njia bora za usindikaji - Kwa kutumia mashine aina ya Grater Hii hutoa chembechembe laini za muhogo, ambazo baadae hukamuliwa kwa kutumia kifaa kingine kiitwacho “presser” ili kuondo sumu iliyoko kwenye muhogo. Mashine hii hutumika hususani kwa muhogo mchungu. - Kwa kutumia mashine aina ya chipper - Mashine hii hutoa vipande vidogo vidogo (chips). Mashine hii hutumika hasa hasa kwa ajili ya mihogo mitamu/baridi. Matumizi ya Muhogo - Muhogo unaweza kupikwa wenyewe kama chakula au kutengeneza unga - Unga wa muhogo unaweza kutengeneza vitu vyotekama vinavyotengenezwa na unga wa ngano kama vile biskuti, chapatti, maandazi, chichili, keki n.k. - Pia muhogo huweza kutumika viwandani kutengeneza bidhaa nyingine kama vile wanga. iii MAGONJWA NA WADUDU WAHARIBIFU · Magonjwa Kuna magonjwa mawili ambayo ni muhimu sana na yanapunguza uzalishaji wa zao la muhogo. a) Ugonjwa wa Matekenya au Ugonjwa wa michirizi ya kahawia katika muhogo Ugonjwa huu ni maarufu kwenye sehemu zenye miinuko iliyo na urefu chini ya mita 300 na unapatikana kidogo sana kwenye miinuko ya mita 500 na kuendelea ambako uenezaji wake wa kawaida hautokei kabisa. Visababishi: Matokeo ya uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba ugonjwa huu ulienezwa na mdudu mweuupe au inzi mweupe (whitefly) mwenye mabawa madogo. Dalili za Ugonjwa Sehemui zote za muhogo zinaweza kuonyesha dalili za uambukizo wa ugonjwa huu lakini ni vipengele gani vya ugonjwa na ni kwa kiwango gani hutegemea hali ya mzingira, hatua ya kukua kwa mmea kwa kulinganisha. - Kwenye majani Dalili ya kwanza: Chlorosis rangi ya njani hutokea kwanza pembezoni mwa vena ndogo baadae huathtiri vena ndogo zaidi na inaweza kuwa doa (chlorosis) la rangi ya njano. Dalili ya pili: Rangi ya njano ambayo haihusishwi vizuri na vena isipokuwa katika mbaka ya mviringo kati ya vena kuu kwenye hatua za mwisho za ugonjwa sehemu kubwa ya lamin inaweza isiathirike, majni yenye ugonjwa hubaki yameshikilia kwenye mmea kwa muda wa wiki kadhaa. - Kwenye shina Huonekana kwenye tisu ya shina changa la kijani, jeraha la zambarau au kahawia linweza kuoneakan nje na kuingia ndani hadi kwenye gamba baaada ya kubandua gome la nje. Pia jeraha la nekrotiki kwenye kovu la shina hutokea baada ya majni kudondoka kutokana na umri wa mmea. Tawi/shina hufa kuanzia kwenye nch kuelekea chini na kusababisha kufa kwa mmea wote. - Kwenye mizizi Kwa kawaida hutokea baada ya dalili za majani na wakati wa kipindi kati ya uambukizo na kufa, amabpo kifo cha mizizi hutokea kuanzia miezi 5 toka kupandwa. Dalili za mizizi zinabadilika nje ya mizizi na zinaweza kuwa kama kizuizimwanga au shimo au kufa kwenye gome. Tishu inayo zunguka mshins ina doa la rangi ya kahawia au nyeusi. Wakati mwingine mizizi huonekana kuwa yenye afya kwa nje bila kuwa na matatizo yaliyowazi au bila kupungua ukubwa, lakini ikikatwa huonekana kufainakufa au rangi ya njano. Uambukizaji na ueneaji Ugonjwa wa CBSD unaambukizwa kwa njia ya vipandikizi vinavyotokea kwenye mimea iliyoathiriwa vinavyosababisha mmea kuonesha kwenye majani dalili za ugonjwa. Kwa kuwa muhogo kwa kawaida huzalishwa kwa njia ya vipandikizi ugonjwa huu huingizwa kwenye sehemu mpya zilizopandwa kwa kutumia vipandikizi vilivyoambukizwa. Kwa aina zinazovumilia sana kwenye hali za mabondeni, dalili mbaya sana hutokea wakati ugonjwa ukigundulika katika hatua za mwanzo. Uchunguzi umeonesha kwamba Bemisia afer ni mdudu/kisababishi ambacho ndicho kinachohusiana na maendeleo ya hivi karibuni kuhusu uhamishaji wa visababishi kama “ipomovirus”. Mara nyingine inaonesha nzi weupe (White flies) na kutokana na hali hiyo bado uchunguzi unaendelea zaidi. Udhibiti/Kuzuia ü Njia ya msingi ya kuzuia/kudhibiti ugonjwa wa CBSD ni kuchagua mbegu kutoka kwenye mimea isiyo na dalili ya ugonjwa. ü Ubora wa mashina unahitaji kutunzwa kwa kuendelea kuchagua na kuangamiza ile iliyoambukizwa ambayo inaonekana wakati wa kuchipua. ü Hakikisha kuwa unapanda mbegu bora za mhogo ambazo zinastahimili uambukizo wa magonjwa. ü Hakikisha kuwa wakati wa uvunaji uonapo hali ya kuoza kwa mizizi ya mhogo ichome moto ili kutokomeza ugonjwa huo. ü Kuelewa dalili za ugonjwa wa CBSD kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya kutokomeza ugonjwa huu. ü Hakikisha kuwa unaendelea kutunza mbegu bora zinazoonekana kuvumilia magonjwa sana. ü Hakikisha kuwa shamba la mhogo linakuwa safi kwa ajili ya kupunguza visababishi vya ugonjwa wa CBSD b) Ugonjwa wa batobato au ukoma wa majani Ni ugonjwa ambao ulienezwa kwamara ya kwanza hapa Tanzani mwaka 1894, na baadae uliripotiwa katika nchi nyingine nyingi za Afrika Mashriki, Afrika Magharibi na Afrika ya Kati na sasa unafahamika kuwa upo maeneo yote yanayolimwa muhogo Afrika. Katika viwango vya kuwepo kwa ugonjwa wa CMD na katika uwingi wa hasara zinazopatikana kutokana na CMD ni kati ya 15% – 20%. Hii ni sawa na tani milioni 15 – 18 zikilinganishwa na makadirio ya shirika la kilimo na chakula duniani ya tani milioni 85 ya mwaka 1997. Visababishi Tangu ugonjwa wa CMD ulipoenezwa kwa mara ya kwanza, visababishi vilichukuliwa kuwa ni virusi kwa sababu ya kukosekana kisababishi kingine. Kwa hiyo kutokana na kuwa mtazamo huu unalingana na matokeo ya uchunguzi wa awali inaonesha kwamba ugonjwa huu huenezwa na nzi mweupe (white fly). Pia uchunguzi wa mara kwa mara umesababisha utambuzi wa virusi vya aina mbalimbali na tofauti kama ifuatavyo: · Ugonjwa wa batobato unaosababishwa na virusi vya Africa cassava mosaic virus · Ugonjwa wa batobato unaosababishwa na virusi vya Afrika mashariki (East Africa cassava mosaic virus) · Ugonjwa wa batobato unaosababishwa na virusi vya India (Indian cassava mosaic virus) Dalili za ugonjwa wa batobato (Cassava Mosaic Disease-CMD) Dalili hutokea kwenye jani lenye uwaraza wa michirizi ambazo huathiri Sehemu zisizokunjamana za kutolea hewa na hufahamika katika hatua za Awali za ukuaji wa jani. Sehemu za kloritiki hushindwa kutanuka hadi mwisho, hivyo mvutano unaji- tokeza kutokana na ukuaji usiolingana na jani au majani madogo yaliyoharibika. Majani yaliyoathirika sana hupungua ukubwa wa umbo, na hujikunja na kujitenga kwa Sehemu zenye rangi ya njano na zenye rangi ya kawaida ya kijani. Mmea hudumaa na majani machanga hupatwa na uvimbe. Kloritiki ya jani inaweza kuwa ya rangi ya manjano nyepesi au rangi inayokaribia nyeupe yenye kijani kidogo au kupauka kuliko ilivyo kawaida. Uambukizaji na uenezaji Ukoma wa mhogo huambukizwa kwenye vipandikizi vya shina ambavyo kwa kawaida hutumika kuzalishia mmea. Pia huenezwa na inzi mweupe (white fly) aitwae Bemisia tabaci G. Aina mbili za inzi au Mbu hao Bemisia (Preisner Hhosny na Aleorodius disperses R) pia huambukiza mihogo katika nchi za Afrika na India Usambazaji wa vipandikizi unaweza kusababisha kuenea kwa ugonjwa wa CMD katika Maeneo mapya. UHIBITI NA KUZUIA -Hatua ya msingi ya kuzuia ugonjwa wa CMD ni kwa kuchagua vipandikizi kutoka kwa Mmea ambao hauna uambukizo wowote. -Ubora wa mashina unahitajika kwa kuendelea kuchagua na kuangamiza kwa kung’oa ile Mihogo iliyoambukizwa ambayo inaonekana wakati wa kuchipua -Hakikisha kuwa wakati wa kuvuna mihogo kwa ile iliyoathirika na ugonjwa wa CMD inaangamizwa kwa kuchomwa moto. -Hakikisha kuwa unatunza shamba na kuwa safi ili kupunguza wadudu waenezao CMD. -Hakikisha una elimu ya kutosha juu ya dalili za ugonjwa wa CMD> · WADUDU NA WANYAMA WAHARIBIFU - Cassava Mealy Bug (CMB) Wadudu hawa hushambulia kwenye ncha za mashina/matawi kwenye majani machanga. Athari zake ni kwamba majani ynadumaa na kujikusanya pamoja, hivyo basi kupunguza ukuaji wa mmea kwa ujumla. Vile vile urefu kati ya pingili na pingili huwa fupi sana. - Cassava Green Mites (CGM) Wadudu hawa hushambulia majani mapya sehemu za chini. Madhara yake sio makubwa. - White Scales Hawa ni weupe na hujishika kwenye shina na kufyonza maji kutoka kwenye mti wa muhogo. Vili vile wadudu hawa madhara yake sio muhimu. - Mchwa Hawa hutafuna/hula mashina ya muhogo hasa wakati wa jua kali/kiangazi. - Wanyama waharibifu Hawa hushambulia muhogo ukiwa shambani kwa kuula, kama vile nguruwe, panya, wezi, n.k Udhibiti/Kuzuia Kwa upande wa wadudu wanweza kudhibitiwa kwa njia zifuatazo: ü Kutumia dawa za kuulia wadudu ü Kutumia wadudu marafiki wa wakulima Kwa upande wa wanyama ni kuweka walinzi.
Drakemag.com is a supplement to the Drake Magazine, a grassroots journal for flyfishing enthusiasts. It was founded on the principal that too much contemporary outdoor writing gives away all the answers to people who never learned what the questions were.